Mwalimu alalamika Wazanzibar kuvaa mitumba
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu, amesema kwamba kulingana na hali ya maisha kuwa juu kwa miaka miwili sasa imepelekea watoto wa Kizanzibar kuvaa nguo za mitumba nyakati za sikukuu, utaratibu ambao hapo mwanzo haukuwepo.