Wananchi wengine Ngorongoro waomba wasiende Tanga Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana. Serikali imeridhia maombi ya baadhi wananchi wanaohama kwa hiari yao kutoka hifadhi ya Ngorongoro kwenda katika maeneo mengine tofauti na Kijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga. Read more about Wananchi wengine Ngorongoro waomba wasiende Tanga