Akamatwa kwa kuwatumia wanafunzi kufukua kaburi

Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoani Rukwa ACP Theopita Mallya

Tanda Thadeo ambaye ni mkazi wa Sumbawanga mkoani Rukwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuwatumia wanafunzi wa Darasa la sita shule ya msingi Kasisiwe iliyopo Manispaa ya Sumbawanga kushiriki zoezi la kufukua kaburi la mtoto  ili afufuliwe na baba yake kwa  kuwalipa  shilingi elfu kumi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS