Dirisha la usajili Tanzania kufunguliwa Julai 1 Nembo ya shirikisho la soka Tanzania TFF Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania TFF limetoa taarifa rasmi ya dirisha kubwa la usajili kwa vilabu vinavyo shiriki ligi zote zilizopo chini ya shirikisho hilo la soka nchini Tanzania. Read more about Dirisha la usajili Tanzania kufunguliwa Julai 1