Mbunge ataka kope na kucha ziongezewe kodi

Mbunge wa Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo

Mbunge wa Singida Kaskazini Ramadhan Ighondo, ameishauri Wizara ya Fedha na Mipango, kuongeza kodi kwenye kucha na kope za bandia kama walivyoongeza kwenye mawigi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS