Rasmi Azam FC yamtambulisha Abdul Seleman ‘Sopu’ Mshambuliaji mpya wa Azam Fc Abdul Seleman ‘Sopu’ uongozi wa Klabu ya Azam FC imefanikiwa kuishinda vita ya kuipata saini ya mshambuliaji Abdul Seleman ‘Sopu’ ambaye alikuwa anawindwa na vigogo Simba na Yanga. Read more about Rasmi Azam FC yamtambulisha Abdul Seleman ‘Sopu’