Wamuua kwa kumpiga fimbo kisa debe 2 za mahindi
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Hamis Hassan, mkazi wa Kijiji cha Kambuzi, Kata ya litapuga wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, ameuawa na wanacnhi wenye hasira kali kwa kupigwa na fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake kwa tuhumu za kuiba debe mbili za mahindi.