Mavunde awataka vijana kuchangamkia kilimo
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde amewataka vijana nchini kuchangamkia sekta ya kilimo kutokana na mpango wa serikali uliowekwa wa kushirikisha kundi kubwa la vijana katika kilimo ili kuwafanya vijana kuwa sehemu ya kuchochea maendeleo ya uchumi nchini