Wamiliki wa viwanda watakiwa kutunza mazingira Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis ametoa rai kwa wamiliki wa viwanda nchini kutenga fungu kwa ajili ya shughuli za kimazingira. Read more about Wamiliki wa viwanda watakiwa kutunza mazingira