Kwaheri Rally Bwalya Rally Bwalya Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kumuuza kiungo mshambuliaji Rally Bwalya kwa timu ambayo hatutaiweka wazi kwa sasa kutokana na matakwa ya kimkataba. Read more about Kwaheri Rally Bwalya