Wamaasai Dar waandamana kukemea upotoshaji
Kundi la jamii ya Kimaasai waishio Dar es Salaam, leo Juni 17, 2022, wameandamana katika Ubalozi wa Kenya na kuiomba serikali ya Kenya kuingilia kati upotoshwaji wa zoezi linaloendelea Ngorongoro, unaofanywa na Asasi za Kiraia pamoja na wanaharakati waishio nchini humo.