Maafisa wa polisi Arusha wapandishwa vyeo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amewapandisha vyeo maofisa wawili wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha wanaofanya kazi katika kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia baada ya kutoa huduma bora kwa watalii.