Waliohama Ngorongoro wamshukuru Mungu
Mkuu wa kimila wa kabila la Maasai walilkuwa wakiishi katika Hifadhi ya Ngorogoro, Laigwanani Matigoi Tauwo, amemshukuru Mungu kwa kumuongoza Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yake ya kuwapatia makazi bora katika Kijiji cha Msomera kilichopo wilaya ya Handeni Tanga.