Mwili wa Padri aliyeuawa na kutenganishwa waagwa
Mwili wa Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya, Michael Samson, aliyeuawa na mwili wake kukutwa umetenganishwa kichwa na kiwiliwili na kisha kuviringishwa kwenye duveti na blanketi na kutupwa kwenye mto huo, umeagwa hii leo.