Ujenzi wa kituo cha mafunzo kwa wakulima waanza

Ujenzi wa kituo cha mafunzo kwa wakulima

Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa kituo mahiri cha mafunzo kwa wakulima na usimamizi wa mazao baada ya mavuno mkoani Dodoma kupitia mradi wa kupambana na Sumukuvu (TANIPAC) chini ya Wizara ya Kilimo mradi ambao utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 18.3.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS