Kituo mahiri cha mafunzo kwa wakulima Dodoma
Serikali imeanza kutekeleza ujenzi wa kituo mahiri cha mafunzo kwa wakulima na usimamizi wa mazao baada ya mavuno mkoani Dodoma kupitia Mradi wa Kupambana na Sumukuvu (TANIPAC) chini ya Wizara ya Kilimo mradi ambao utagharimu kiasi cha Tsh 18.3bn