"Mimi ni mbahili sijawahi kuhonga" - Nay wa Mitego Picha ya Nay wa Mitego Kwa asilimia 100 msanii Nay Wa Mitego ameweka wazi kuwa yeye ni mbahili na hajawahi kuhonga pesa yake kumpa mwanamke. Read more about "Mimi ni mbahili sijawahi kuhonga" - Nay wa Mitego