Watatu wafariki, saba wajeruhiwa ajali Shinyanga Watu watatu wamefariki na wengine saba wamejeruhiwa katika ajali ya basi la Zuberi iliyotokea katika barabara ya ya Mwanza - Shinyanga katika eneo la Mwigumbi. Read more about Watatu wafariki, saba wajeruhiwa ajali Shinyanga