Mwalimu afa kwa moto, funguo za nyumba zakutwa nje

Nyumba ambayo alikuwa akiishi Mwalimu Daudi Senyagwa

Mwalimu wa shule ya sekondari ya Morogoro Daudi Senyagwa, amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kutekea kwa moto akiwa amelala ndani usiku wa kuamkia leo Juni 15, 2022 katika mtaa wa Seminari, Kata ya Kingolwila Manispaa ya Morogoro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS