Farid badoo yupo yupo sana Yanga SC
Klabu ya Yanga imemuongezea kandarasi ya miaka miwili kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Farid Mussa Malik kuendelea kuwatumikia wababe hao wa Jangwani hadi mwaka 2024 huku wakiwa na mpango wa kusajili nyota 4 tu wa kimataifa.