Yanga SC hatujazoea kushindwa - Haji Manara
Klabu Yanga imewataka mashabiki wa klabu hiyo kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Juni 15, 2022 siku ya Jumatano dhidi ya klabu ya Coastal Union ya Tanga utakaochezwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.