Liverpool yakubali kumsajili Nunez kwa Bilioni 242
Klabu ya Liverpool ya England imefikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji Darwin Nunez wa klabu ya Benfica ya Ureno kwa ada ya uhamisho ya pauni million 85 za England sawa na Bilioni 242 na zaidi ya ,milioni 350 za kitanzania.