Ligi kuu inarejea tena leo, baada ya wiki 2
Ligi Kuu soka Tanzania bara NBC Premier League inarejea tena leo kwa kuchezwa michezo miwili. Ligi inarejea tena baada ya kusimama kwa takribani wiki mbili kupisha kalenda ya kimataifa ya FIFA, michezo hii inayoanza kuchezwa leo ni ya raundi ya 27.