Ushindani ni mkubwa Yanga- Sure Boy

Sureboy

Kiungo mchezeshaji wa Yanga, Salum Aboubakari ‘Sure Boy’ amekiri kukutana na ushindani mkubwa wa namba ndani ya kikosi hicho, lakini kamwe hatakubali kukaa benchi na badala yake atapambania nafasi yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS