Thompson amsifu Curry kwa kiwango bora Steph Curry kushoto, Klay Thompson kulia Nyota wa Golden State Warriors Klay Thompson amesema kwenye mchezo wa 5 wa fainali ya NBA wanapaswa kufunga zaidi ili kumsaidi Stephen Curry ambaye amekuwa akifunga alama nyingi kwenye kila mchezo. Read more about Thompson amsifu Curry kwa kiwango bora