"Napenda wanaume wazee wa miaka 50" - Sultanaa Picha ya Official Sultana akifanyiwa mahojiano Msanii Official Sultanaa ameweka wazi kupenda wanaume wazee kuanzia miaka 50 na kuendelea kwa sababu wanajua kutunza, wametulia na hawana mambo mengi. Read more about "Napenda wanaume wazee wa miaka 50" - Sultanaa