Watanzania watakiwa kujipanga mradi wa gesi Asilia
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania kujipanga ili kuweza kuhudumia mradi wa uchakataji wa gesi asilia na kupelekea mapato kubaki nchini na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wetu.