UWT Shinyanga wakutana kumpongeza Rais Samia
Umoja wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Cha Mapinduzi (Ccm) Mkoa wa Shinyanga umefanya Kikao Cha Wajumbe wake wa Kamati kwa Lengo la Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kwa utendaji wake katika kuwahudumia Wananchi