Moto wateketeza ghala la vifaa vya ujenzi

Moja ya kontena lililoteketea

Moja ya ghala la kuhifadhia vifaa vya ujenzi la kampuni ya MAN Construction, lililopo maeneo ya Mikocheni viwandani linateketea kwa moto mchana wa leo Agosti 4, 2022, ambapo hadi sasa chanzo cha moto huo hakijajulikana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS