Vijana washirikishwe kwenye maendeleo - Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa Chama na serikali kuwashirikisha vijana katika mipango ya maendeleo, kwani Rais Samia Suluhu, amewekeza nguvu kubwa kuliinua kundi hilo kiuchumi kupitia fursa mbalimbali

