Mfalme Zumaridi abadilishiwa Hakimu
Baada ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Monica Ndyekobora, wa Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza, kugoma kujitoa kusikiliza kesi ya Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wafuasi wake 84, hatimaye Mahakama hiyo imempangia Hakimu mwingine kusikiliza kesi hiyo.

