Mmasai
Mmasai anayefuata nyayo za Mr Ebbo akimwonyesha Sam jinsi ya kuimba pamoja na ku 'rap' huku pembeni msanii DKNOB akicheka na kujificha sura
Victoria Kimani
Je uliwahi kuangalia vichekesho vya 'Fresh Prince of Bel Air' ? basi Victoria Kimani mwanamuziki kutoka Kenya anaonyesha ujuzi wake kwa kuchana ule wimbo wa kufungulia vichekesho hivyo ndani ya Friday Night Live
Central Park
Vijana wa Central park wakionyesha kwamba pamoja na upya wao kwenye 'game' wao ni wakali wa freestyle na kuchana, cheki jinsi walivyofunguka wiki hii walivyotembelea FNL .