Mtaa kwa Mtaa
Huyu hapa, anaitwa Makonga.. hapa anathibitisha kuwa huku uswahilini kwetu mimba kwa binti ni sehemu ya biashara, baada ya binti kujifungua sherehe kila kukicha, mcheki sasa
Salaam
Najua wengi elimu hii ya ukindu hawana, lakini Uswazi imekutana na mama ambaye anafanya shughuli hizi, pata elimu ya ukindu kutoka kwake kwa kumtazama hapa.
Uswazi.com
Waswahili wanasema mji bila wazee mambo yataharibika, huyu hapa mama ambaye ni kungwi, hapa anatofautisha kati ya elimu wanayoitoa makungwi na elimu inayotolewa kwenye kitchen party: Pata elimu hii