kutoka kushoto Mkutubi wa chuo cha KITM, Dorotea Tobias na Mkuu wa chuo hicho Ahmed Mbezi wakikabidhi taulo za kike kwa mtangazaji wa East Africa TV, Mwanne Othman. https://www.eatv.tv/news/life-style/kitm-wametimiza-ahadi-yao-kwa-mtoto-wa-kikeWamechangia pakiti 128 za taulo za kike zitakazowasaidia wanafunzi 13 kwa mwaka mzima