ABDALLAH JUMANNE MKEBEGA
Jina La Utani:
MKEBEGA
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUIMIZA WATU

Nimezaliwa mwaka 1992 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 1 katika familia ya watoto 5

Ninaishi na BABA na MAMA

Mtaani kwangu najulikana kwa KUDANCE

Mimi nimesoma mapaka FORM 4

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) KUJISHUGHULISHA

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikioya kudansi kwa kweli sio mbaya na wala sio mazuri kwa wakati tuliyonayo hivi sasa kwasababu hatuna viongozi wa kutuongoza
Year: