Nimezaliwa mwaka 1996 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3 nina KAKA 1 na DADA 1
Ninaishi na MAMA na BABA
Mtaani kwangu najulikana kwa DANCER
Mimi nimesoma mpaka FORM 4
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) KUSAFILISHA BIDHAA
Mafanikio katika Fani:
Nimepata kundi Jipya baada ya kuonekana uwezo wangu, Nimependa na najiona ni mmoja wa watu muhimu katika dance
Year: