Nimezaliwa mwaka 1993 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 6 nina kaka 2
Ninaishi KONGOWE na MAMA YANGU na WADOGO ZANGU
Mtaani kwangu najulikana kwa BEKA DANCER
Mimi nimesoma mpaka DARASA LA7
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) KULIMA BUSTANI
Mafanikio katika Fani:
KIUKWELI BADO
Year: