Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto 1 katika familia ya watoto 4
Ninaishi PAMOJA na WAZAZI
Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA KIPARA
Mimi nimesoma mpaka CHUO ( CERTIFICATE OF HOSPITALITY IN TOURISM)
Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) BIASHARA)
Mafanikio katika Fani:
Mpaka sasa nimepata ajira yan kufanya show kila mwisho wa wiki katika Hotel ya LAGEMA iliyopo Zanzibar.amoja
Year: