Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya ya watoto 6
ninaishi KIGAMBONI na FAMILIA
Mtaani kwangu najulikana kwa MSANII WA KUCHEZA
Mimi nimesoma mpaka DARASA 7
Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi ) MWALIMU WA DANCE
Mafanikio katika Fani:
Nimepata kazi katika kituo cha kulelea watoto yatima ili kufundisha dance na ni mwalimu pia wa michezo katika shule ya CHEKECHEA iliyopo kigamboni, inayoitwa KCC
Year: