Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya KINONDONI Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa MWISHO katika familia ya watoto 5 nina KAKA 3 na DADA 1
Ninaishi na BABA MDOGO na BABA MKUBWA
Mtaani kwangu najulikana kwa MASUDI
Mimi nimesoma mapaka FORM 4
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) FUNDI WELDING
Mafanikio katika Fani:
Natarajia kuwa dancer maarufu sana duniani, na pia fani yangu imefanya nitambulike Afrika Mashariki
Year: