Submitted by Lotus on Thursday , 4th Sep , 2014Uliwaona Yamoto Bendi show iliyopita wamefunguka mengi sana na ilikuwa sehemu ya kwanza, sasa tukatazame sehemu ya pili ya kundi hili kupitia Hapa hapa kwenye show kali zaidi Afrika Mashariki, Planet Bongo