Yule aliyetamba skitambo na kundi la Daz Nundaz na pia akatamba na wimbo wa starehe Ferouz atakuwepo Ijumaa hii akituelezea ni nini anachofanya kwa sasa.