Together Tunawakilisha
Home

YOU ARE NOT LOGGED IN
  • Login
  • or
  • Sign Up
  • Dashboard
  • Logout
  • Home
  • Shows
  • News
    • Currrent Affairs
    • Entertainment
    • Sport
    • Business
    • Life & Style
  • Gallery
  • Schedule
  • Namthamini

Kili Music Tour 2012

You are here

  1. Gallery
Submitted by Anonymous on Monday , 24th Mar , 2014
Presenter Dulla aka Mjukuu wa Ambua akichangamsha mashabiki wakati wa tamasha la Kili music tour 2012.
Camera Man wa East Africa Television Tawakari akiwa makini Kurekodi burudani kamili ili kuwapa uhondo uliokamilika mashabiki wa muziki walioko nyumbani.
Msanii Suma lee akitoa burudani juu ya stegi ya kili tour 2012
Kundi la reggae Warrior from East wakitoa burudani kali kwa wapenzi wa miondoko ya reggae.
Barnaba boy akiimba kwa hisia kali jukwaani na kupagawisha mashabiki.
Ben Paul nae akishambulia steji la burudani na kupagawisha mashabiki.
Mkali wa Bongo fleva Ali Kiba na Ommy Dimpozi wakiwaimbia mashabiki wao wimbo mkali wa Nai Nai.
Ommy Dimpozi akiwa juu ya jukwaa na stejisho wake tayari kwa kufanya show ya nguvu.
Wasanii wakiwa wakipiga picha ya pamoja back stage.
Mashabiki wakionyesha kupagawa na burudani iliyotanda jukwaani.
Bi khadija Kopa akiwapagawisha mashabiki wake na nyimbo zake za miondoko ya pwani.
Msanii AT toka Zanzibar akiwa anatoa burudani na wanenguaji wake.
Barnaba juu ya jukwaa la kili music tour 2012.
Ommy Dimpozi juu ya jukwaa.
Ally Kiba akiwa na wacheza show yakitoa burudani ya nguvu juu ya jukwaa la kili music tour.
Msanii wa Hip Hop ROMA akiwapagawisha mashabiki wake.
Wasanii wengine wakitoa burudani.
Bi Aisha Madinda akinengua juu ya jukwaa.
Queen Darleen akiwashukuru mashabiki zake.
Mashabiki wakirushwa roho na wasanii wakali kwenye tamasha la Kili music tour 2012.

Recent Gallery

EATV JOGGING
EATV KINARA 2023
WASHINDI NA ZAWADI
FAINALI GAME 3 (Best of 5) Mchenga Bingwa 2019
Fainali Game 2 (Best of 5)
Fainali Game 1 (Best of 5)

TOP STORIES

Jadon Sancho

Sport
Chelsea kutoa bilioni 18 Sancho kurudi Man United
Sport
Bruno akataa maokoto ya waarabu Saudi Arabia

A'ja Wilson

Sport
A'ja Wilson aendelea alipoishia msimu jana
Entertainment
Dully Sykes Aonesha Unguli wake kwenye Game

MOST POPULAR

Dance 100% 2013
Kili Music Tour Songea yavunja rekodi
Tamasha la Kili Music Tour 2014 mjini Moshi
Tamasha la Kili Music Tour 2014 ndani ya Kahama
KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014 -IRINGA

ABOUT US

  • About us
  • Advertise
  • Jobs
  • Terms & Conditions
  • Contact Us
  • Frequently Asked Questions

Network

  • IPP MEDIA
  • EAST AFRICA RADIO
  • ITV
  • RADIO ONE
  • CAPITAL RADIO
  • LOKOPROMO

©  East Africa Television Limited. All Rights Reserved

  • Main menu
    • Home
    • Shows
    • News
      • Currrent Affairs
      • Entertainment
      • Sport
      • Business
      • Life & Style
    • Gallery
    • Schedule
      • Awards
      • BBALLKINGS
      • Dance100
    • Namthamini
  • Search
  • Main menu
    • Home
    • Shows
    • News
      • Currrent Affairs
      • Entertainment
      • Sport
      • Business
      • Life & Style
    • Gallery
    • Schedule
      • Awards
      • BBALLKINGS
      • Dance100
    • Namthamini
  • Search