Samuel Chale
Samuel Chale, nawaambia watazamaji wote wa EATV, Holla 5.
Wanafunzi IFM,
Wanafunzi IFM, Big up to you all eNewz, team we love you all. Welcome to Institute of Finance Management IFM.
Nas
Naitwa Nas wa A Town, nawapa Hi wale wote wanaotizama eNewz, nawapenda.
Saumu
Naitwa Swaumu nikiwa Masasi, nawatakia siku njema watu wote wanaoangalia EATV popote walipo. Together Tunawakilisha!!!