Hi, naitwa Ilham Nipo pande za Ngara mkoa wa Kagera, nawasalim bibi yangu mpendwa, mamaangu Saida, mama mkubwaa Latifa, dada Buthaina na Uncle Noordin.. Hollaaaaaaaa 5
Precious Paschal wa Dar
Naitwa Precious Paschal wa Dar, nampa hi baba angu mpendwa Paschal au ( Makuru James Nyamkenga) akiwa huko Dodoma chuo cha Mipango, na mama angu Prisca au (Pilly) Juma Waziri niko nae Dar, pia bibi angu Grolia Yohana mama Pili akiwa Mpwapwa.
Lyim
Am Lyim 4rom Mbez holla 5 kwa ma frnds Libu, Jobayser, Yusco Bayser bila kumsahau Ally zombie na Kudo de King shadow!! Na all student of Kvss⢠Usichezee enewz hata kidogo, Holaaaaaà aaaaaaaaa!.