Kutana na Ray C, alivuma sana kwa jina la 'Kiuno Bila Mfupa'. Atazungumza mengi ikiwemo jinsi alivyojiingiza kwenye madawa ya kulevya.