Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

JPM afanya mapinduzi ya elimu

Monday , 22nd May , 2017

Rais Magufuli ametajwa kuwa rais wa kwanza mwenye nia ya dhati ya kuleta maendeleo makubwa katika sekta ya elimu nchini baada ya kuruhusu serikali yake kutumia zaidi ya shilingi bilioni 18 kila mwezi kugharimia elimu ya msingi na sekondari

Hayo yamebainishwa na baadhi ya wazazi wa shule sita za msingi katika kata ya Ihyela, Mbeya baada ya kukusanyika kwa ajili ya kuwapongeza wanafunzi 10 wa darasa la saba ambao wamefanya vizuri mtihani maalum wa majaribio wa maandalizi ya mtihani wa taifa unaotarajiwa kufanyika miezi michache ijayo.

Akizungumza kwa niaba ya walimu, Mratibu wa elimu kata ya www.buy-trusted-tablets.com Ihyela Dickson Sinkwembe, ameahidi kuwa walimu watahakikisha wanafunzi 10 ambao wamefanya vyema mtihani huo wa maandalizi, wanapata matokeo mazuri kwenye mtihani wa taifa na kuiletea heshima kata hiyo, huku akiwataka wazazi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa walimu.

Pamoja na hayo, mdau wa elimu katika kata hiyo, Bw. Ndele Mwanselela amewapatia zawadi wanafunzi hao ya fedha taslimu huku akiwataka wananchi kumuunga mkono Rais JPM kutokana na uamuzi wa serikali yake kutumia zaidi ya Shilingi bilioni 18 kila mwezi kwa ajili ya kugharamia elimu.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine