Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Kwa hili serikali iwajibike tu" - Prof. Tibaijuka

Tuesday , 22nd May , 2018

Mbunge wa Muleba Kusini(CCM), Profesa Anna Tibaijuka ameitaka serikali ya awamu ya tano iwajibike kuwanunulia ng'ombe wafugaji walioshinda kesi zao Mahakamani kama sheria inavyosema nasio vinginevyo.

Prof. Tibaijuka ametoa kauli hiyo Leo Mei 22, 2018 Bungeni Jijini Dodoma kwenye kikao cha 34 mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maliasiri na Utalii ya mwaka 2018/19 ambayo ni shilingi 115.8 bilioni baada ya kuwepo tatizo la muda mrefu kwa wafugaji kuporwa mifugo yao na watu wa maliasili pindi wanapokuwa wamevamia hifadhi kwa lengo la kulisha mifugo yao.

"Serikali hii ya awamu ya tano naishukuru sana walitoa miezi 10 kwa Mawaziri humu ndani Bungeni kutafuta ardhi za wafugaji lakini hiyo kazi haikufanyika kilichotokea watu walikuja kuondolewa kwenye hifadhi kama operesheni na kwa kweli yalikuwa mateso makubwa sana. Mhe. Spika ni utawala wa sheria kama mtu ameshinda mahakamani na anatakiwa arudishiwe mifugo yake ni lazima afanyiwe hivyo na kama haipo lazima inunuliwe, serikali hapo inatakiwa kuwajibika", amesema Tibaijuka.

Pamoja na hayo, Prof. Tibaijuka ameendelea kwa kusema "kuwajibika hakuwezi kuwa sehemu ya wananchi pekee yake bali na serikali yenyewe lazima iwajibike pale ambapo kosa limefanywa na watendaji wake". 

Kwa upande mwingine, Profesa Anna Tibaijuka amesema hawezi kuiunga hoja iliyokuwa mezani mpaka pale suala lake litakapopatiwa majibu yenye kuridhisha.

HABARI ZAIDI

Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile

Balile achaguliwa kuwa Mwenyekiti EAES

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine