Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Sihitaji kiatu cha dhahabu" - Okwi

Sunday , 17th Sep , 2017

Mshambuliaji mwenye asili ya Kiganda, Emmanuel Okwi amefunguka na kudai kwa sasa hatazamii kucheza ili kupata kiatu cha dhahabu baada ya ligi kuisha bali malengo yake ni kuisaidia timu yake yake ya Simba SC kupata ushindi.

Okwi amefunguka hayo baada ya kutoka kwenye mchezo wa uliomalizika leo jioni kwenye uwanja wa Uhuru Dar es salaam kwa klabu yake kuichapa Mwadui FC ya Shinyanga mabao 3 -0 na kupata nafasi ya kurejea nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu bara.

"Nawashukuru wacheaji wenzangu kwa ushirikiano na hivi sasa siangalii kupata kiatu cha dhahabu bali kuisaidi timu yangu kupata ushindi, lakini ikitokea kuwa nimepata nitashukuru"

Mabao ya Emmanuel Okwi dakika ya 7 na 67 yaliipa Simba uongozi kabla ya John Bocco kuhitimisha ushindi huo wa pili kwa Simba msimu huu kwa bao safi dakika ya 72.

Simba sasa imefikisha alama 7 ikiwa katika nafasi ya pili nyuma ya Mtibwa Sugar yenye alama 9. Mshambuliaji Emamanuel Okwi amefikisha mabao 8 katika michezo yake miwiwli aliyocheza huku John Bocco naye akifungua akaunti ya mabao ndani ya Simba.

Katika mchezo mwingine jioni ya leo Mbeya City wakiwa nyumbani Sokoine Mbeya wameifunga Njombe Mji bao 1-0.

 

HABARI ZAIDI

Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

Waliohitimu mafunzo ya uongozi wafundwa uadilifu

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90