Belle 9 na Joh Makini
Belle ambaye aliiandika Vitamin Music miaka kadhaa iliyopita amesema kuwa, kazi hii inakuwa ni ya kipekee zaidi hasa kutokana na kuiandika akiwa ametumia muda wake wa kutosha studio katika kipindi hicho.
Belle 9 ambaye kwa sasa anafanya poa kupitia ngoma yake ya Vitamin Music ft Joh Makini, ameweka wazi kuwa rekodi hii katika malengo yake ilikuwa na malengo ya kuweka rekodi nyingine mpya katika muziki wake baada ya hit yake marufu ya 'Sumu ya Penzi'.